UNAWEZAJE KUNUNUA HISA ZA NJE YA NCHI;
OK.! twende sawa, ipo hivi tekinolojia imeturahisishia sana kwa sasa yaan unaweza nunua umiliki wa kampuni kutoka nchi kama marekani ilihali wewe upo mpanda au mwanza hii ndio nguvu ya utandawazi.
unapotaka kununua hisa unachagua kampuni ya kuwekeza kwa utashi wako na maarifa ulionayo yaan unafanya uchambuzi na tafiti zako kwa umakini then ndio unaweka pesa zako usiweke pesa kwenye kitu usichokijua, nione nikufundishe bonyeza hapa .
ok then baada ya kufanya tafiti zako vizuri unachagua broker(wakala) atakae kuwezesha wewe kununua hisa kutoka kwenye hayo masoko makubwa duniani kama NEWYORK STOCK EXCHANGE, na mengine mengi kwa wanafunzi wangu wanajua yupi ni broker sahihi kwao join to my channelbonyeza hapa .
ukishachagua broker then unajisajili vizur kwa kufata taratibu zao then una deposit pesa yako kuanzia kimo cha chini kutokana na broker mfano broker tunae mtumia kimo cha chini cha kudeposit ni 100$.
baada ya kumaliza hizo process unanunua hisa zako kutoka kwenye kampuni uliochagua pasipo kutumia leverage, sababu una wekeza kwenye hiyo kampuni na haufanyi biashara.
ok baada ya kufanya uwekezaji tunasubiilia faida inaweza chukua muda mrefu au mfupi wewe kuingia kwenye hasara au faida lakin kumbuka uwekezaji huu ili upoteza pesa yako ni lazima kampuni ifilisike tofauti na hapo ni changamoto tu za kibiashara.
asante kwa kuwa sote kama hujui kabisa namna ya kufanya au huna elimu juu ya uwekezaji huu nitafute kwa namba whatsapp
Leave a Comment