UCHAMBUZI WA KITABU CHA SUCCESS IS NOT AN ACCIDENT (MAFANIKIO SIO AJALI)
ndugu yangu kama ilivyokawaida ya mtandao huu wa fikialengo wenye dhumuni la kubadili mtazamo wa maisha yako leo tunakuletea uchambuzi wa kitabu cha mafanikio sio ajali ni kitabu ambacho mwandishi ameandika kwa maono makubwa na malengo ya kunyoosha hiki kizazi cha kusubili mafanikio ya kubeti.bwana tommy newbery angekua anaishi tanzania ningemualika mtaani kwetu siku moja ajionee miujiza watu wapo ofisi za kubet halafu wana ndoto za kuwa kama katumbi ndani ya siku chache duh..!maajabu
kama huitaji mafanikio bora usiendelee kusoma maana utakuwa unajisumbua, ndugu yangu mafanikio ya aina yoyote yale yana kanuni zake nimepitia kanuni nyingi kwa bahati mbaya sijaona kanuni ya bahati kwa walio soma kitabu kama think and grow rich pamoja na biblia naamini watakuwa wanaungana na mimi kwamba mafanikio yana kanuni zake sasa twende pamoja mpaka mwisho tuone maarifa machache niliyoyapata kwa bwana tommy newbery anasema nini juu ya hilo jina la kitabu chake.
swali la kujiuliza mwenyewe ni kwamba je umefanikiwa hili swali litakufanya uwe updated na malengo nyakomaana kila mtu anamaana yake juu ya mafanikio yake hiyo nikutokana kila mtu kaumbwa na kusudi lakejuu ya hili swali bwana tommy anakuonesha njia ya kujibu hilo swali
mwandishi ;AIDAN MPONEZA
aidanmponeza@gmail.com
simu no 0762679204 kwa ushauri juu tukutane kwenye makala nyingine

- MAFAIKIO NI MAAMUZI YAKO;
ndugu yangu mafanikio ni maamuzi yako kwamba nahitji kufanikiwa uwezi ukafanikiwa kama hujafanya maamuzi nasema uwezi na hautakuja kuweza kufanikiwa bila kuamua kufanikIwa. mfano unataka kuanzisha biashara wazo unalo , mtaji unao,nia unayo,muda unao tatizo hujaamua kuanzisha biashara ndo maana unaweka visingizio vingi mara hiki mara kile hiyo yote ni uzito wa kufanya maamuzi fanya maamuzi ndugu yangu mfano wa bwana ben carson mwanzo wa mafanikio wake ulianza kwa kusoma vitabu viwili kwa wiki tena baada ya kuambiwa na mama yake. je wewe unaanza na maamuzi yapi.? BADILIKA MAAMUZI NDO MAFANIKIO. - MAFANIKIO HUANZA NA MATAMANIO;
napo sema matamanio nahisi unajenga picha fulani ya wewe vitu unavyotamani rafiki yangu jifunze kutamani vitu vikubwa mfano mtu anaye tamani kuwa bilionea huwezi kumfananisha na yule anaye tamani kuwa na uchumi wa kawaida, kwahiyo ndugu yangu tamani vikubwa wka malengo fanya maamuzi. hujachelewa unaweza kuwa kama fulani. faida kubwa ya kutamani ni kwamba unakuwa unawasha moto kwenye nafsi yako juu ya malengo yako unakuwa na mzuka wa kufikia huko.ebu asume wewe ni unatamani kuwa msanii mkubwa unajisikiaje unapo muona rayvany anachukua tuza nafsi yako inasema nini. badilika kuwa na malengo ya kushangaza maelfu. - UNA UHURU WA KUFANIKIWA;
kila mtu anapozaliwa taa ya rangi ya kijani inawashwa kuashiria kwamba safari imeaanza mungu hawezi kukufanya masikini uhuru ni wako hata wazazi wako wamekupa uhuru huo toka kitambo mama yako kapigania huo uhuru wako wakufanikiwa kwenye hii dunia toka unaanza kurutubishwa kwahiyo kazi ni kwako mama kaisha kuanzia mapambano wewe yaendeleze usimuangushe maana hata yeye hapendi sema ndo hivyo sheria ya uhuru wa mafanikio yako inambana. kazi ni kwako unatokaje kwenye huu mnyororo wa mafanikio.
swali la kujiuliza mwenyewe ni kwamba je umefanikiwa hili swali litakufanya uwe updated na malengo nyakomaana kila mtu anamaana yake juu ya mafanikio yake hiyo nikutokana kila mtu kaumbwa na kusudi lakejuu ya hili swali bwana tommy anakuonesha njia ya kujibu hilo swali
- ushamuomba mungu akuweke kwenye orodha ya wafanikiwaje kutokana na malengo yako.?
- ushayaandika malengo yako au unatembea nayo kichwani andika na yaweke katika mfuatano.
- ushawahi kuyafanyia kazi malengo yako.?
5. FIKIRI ZAIDI KWENYE KUFIKIA MALENGO YAKO KULIKO VIZUIZI UKUTANAVYO;
fikiri zaidi kwenye nitafikaje pale swala la vizuizi vitakurudisha nyuma usikubali maneno ya watu wanao kukatisha tamaa juu ya mafanikio yako kwamba uwezi ,usikubali zuio la kifedha kukurudisha nyuma maana ndo hiyo fedha unaitafuta kwahiyo vizuizi ni darasa jifunze kisha songa mbele. mafanikio sio bahati kuna vikwazo vyake visikurudishe nyuma.
6. PANDA KISHA VUNA;
ndugu yangu hujapanda pesa unataka uvune pesa yaani hata mbegu za pesa huzujui we unataka mavuno tu, hujapanda usanii leo unataka kuvuna usanii, hujapanda uigizaji leo unataka uvune uigizaji fungua fikra tafuta mbegu ya malengo yako. ukitaka kuvuna zaidi ulichokipanda unatakiwa kukihudumia zaidi kil e ulicho kipanda,kukithamini zaidi na kuwa muhusika wa kile ulichokipanda.

"success not based on need it's based on seed" tommy newberyndugu yangu hayo ndo maarifa ya siku ya leo asante kwa kutembele mtandao wetu wa fikialengo hakikisha unayafanyia kazi yale unayoona yanafaa zaidi kwako mafanikio endelea kutembelea www.fikialengo.blogspot.com
mwandishi ;AIDAN MPONEZA
aidanmponeza@gmail.com
simu no 0762679204 kwa ushauri juu tukutane kwenye makala nyingine
Leave a Comment