HIKI NDO KIPIMO CHA UPENDO WA DHATI.
ndugu yangu amri za mungu zipo kumi lakini amri kuu ni moja UPENDO. upendo ndo kitu pekee chenye umuhimu kwenye maisha yetu hasa karne hii, maana kupitia upendo uwezi dhurumu au kuiba, kitu cha mwenzako au kutenda kitu kiovu kwa unayempenda uwezi kumsaliti mwenzi wako kama una upendo wa DHATI uwezi kata tamaa na kazi yako au biashara yako.swali je nikipi kinastahili upendo.? jibu;kitu,mtu kazi,biashara,mazingira vyote vinastahili upendo.kwahiyo kazi ni kwako kipi unakipa kipaumbele. rafiki yangu karibu kwenye somo la kipimo cha upendo naomba twende pamoja mpaka mwisho wa makala hili kujifunza.
upendo wa dhati haupimwi kwa sula,mali,nyazifa au maisha si wala umaarufu ulionao.rafiki yangu unapoenda kununua nguo ukifika dukani ukaona nguo nzuri ikakuvutia ghafla utatokwa na neno "nimeipenda hii nguo" ndio inaweza kuwa kweli umeipenda lakini tambua huo ni upendo na sio upendo wa dhati, baada ya hapo utaenda kujaribisha je vipimo vyake ni sawa na vile unavyotaka wewe.! ukikuta ni sawa na umeipenda upo tayali kulipia gharama yoyote au utambembeleza mnunuaji mpaka akuachie, huo ndo upendo wa dhati unavyoanza kwenye hiyo nguo. kwahiyo na kwenye biashara au kwa mwenzi wako kabla ya kufanya maamuzi ya upendo wa dhati hapo ndo vipimo vinatakiwa nazungumzia KABLA ya upendo wa dhati na kazi yako, biashara yako, mpenzi wako,mali zako,elimu yako, kila chochote chako kinachostaili kupendwa. nasema kabla maana bila vipimo hivyo ukishaingia kwenye UPENDO WA DHATI kuna gharama utalipia sasa kama hukufanya vipimo hivyo gharama lazima zitakuathiri tu tena zitakuathiri bila hata huluma na wewe.
je vipimo hivyo vya kabla ya upendo wa dhati ni vipi.?jibu hakuna vipimo sawa(constant) kila mtu anavipimo vyake maana naweza kukuambia kipimo kwa mwenzi wako iwe ni tabia wakati wewe kipimo chako ni miguu, labda kipimo cha biashara yako iwe ni pesa wakati wewe unapenda huduma unayotoa kwenye biashara yako kuliko pesa. kwahiyo hakuna vipimo sawa kwa wote KABLA ya mapenzi ya dhati. sasa twende tukatazame kipimo cha upendo wa dhati.
Mtakatifu augustino enzi za uhai wake aliacha amesema kitu kuhusu upendo na yule ni mtakatifu akisema upendo amaanishi upendo wa juu juu tu hapana anapozungumzia upendo anamaanisha upendo wa kweli tazama yesu nae aliacha kasema neno hilo hilo hakumaanisha upendo wa juu juu ambao umetawala karne hii.alimaanisha upendo wa dhati
kwahiyo jiandae na mabadiliko ya vipimo(CHANGAMOTO) kwenye maamuzi yako ya upendo wa dhati na kazi,biashara,urafiki,mahusiano,na vingine vingi huu sio muda wa kujilaumu maana maamuzi yako ndo yamekufikisha hapo we ndo ulikuwa na vipimo na sio mtu mwingine kama mabadiliko yametokea unakaa mezani na yanaisha kama biashara yako imekuwa ngumu sio muda wa kumlaumu magufuli utakuwa ujaipenda kwa dhati. umeamua kupenda kwa dhati PENDA bila kipimo huwezi ACHA ACHA maana hutaweza kugharamikia gharama za maumivu kuwa mwangarifu na vipiimo vyako.
upendo wa dhati ni wa bila vipimo asante kwa kuwa pamoja nami mwandishi wa makala hii AIDAN MPONEZA endelea kutembelea www.fikialengo.com kwa makala nzuri zaidi karibu kwa ushauli 0762679204/ aidanmponeza@gmail.com

JIBU "kipimo cha upendo wa dhati ni kupenda pasipo kipimo"nukuu kutoka kwa mtakatifu augustino.
kwahiyo jiandae na mabadiliko ya vipimo(CHANGAMOTO) kwenye maamuzi yako ya upendo wa dhati na kazi,biashara,urafiki,mahusiano,na vingine vingi huu sio muda wa kujilaumu maana maamuzi yako ndo yamekufikisha hapo we ndo ulikuwa na vipimo na sio mtu mwingine kama mabadiliko yametokea unakaa mezani na yanaisha kama biashara yako imekuwa ngumu sio muda wa kumlaumu magufuli utakuwa ujaipenda kwa dhati. umeamua kupenda kwa dhati PENDA bila kipimo huwezi ACHA ACHA maana hutaweza kugharamikia gharama za maumivu kuwa mwangarifu na vipiimo vyako.
upendo wa dhati ni wa bila vipimo asante kwa kuwa pamoja nami mwandishi wa makala hii AIDAN MPONEZA endelea kutembelea www.fikialengo.com kwa makala nzuri zaidi karibu kwa ushauli 0762679204/ aidanmponeza@gmail.com
Leave a Comment