MUDA MZURI WA MWANACHUO KUTENGENEZA PESA.




Ndugu habari za siku, leo aidan napenda kuzungumza na wewe mwanachuo napenda kuzungumza na wewe kwenye swala zima la fedha ni wakati gani wewe unaweza tengeneza kipato chako mwenyewe.

Mpaka unafikia umri wa kuingia chuo ni hakika tosha ya kuwa wewe ni mtu mzima unaepaswa kuanza kujitgemea kwa namna moja ama nyingine.

Wanachuo wengi wanatamani sana na wanapenda sana kutengeneza pesa lakini wanalalamika muda unawabana kwangu mimi hii sio kweli.

Katika hesabu ya muda kwa siku  ni masaa 24 dakika 1440 na sekunde 86400 hii ni kwa dunia nzima, hakika mungu alitoa zawadi hii kwa usawa sana wazungu pamoja na welevu wao lakini hawajawahi fanya hii kitu kwa kuibadirisha, kwahiyo  kama muda haukutoshi hapa chuoni sijui huko mtaani.

Ndugu yangu ningependa sana utambue ya kuwa muda mzuri wa wewe kutengeneza pesa ni muda ambao upo chuoni ukatae usikatae huu ndio muda sahihi sana kwako “niulize kwanini”
Nakujibu ”kwasababu” mzunguko wa pesa chuoni ni mkubwa sana na wa muda mfupi kuliko mzunguko wa mtaani kwenu pili msukomo wako wa maisha (presure) ukiwa chuoni ni ndogo kuliko ukiwa mtaani, tatu thamani yako wewe kama mwanachuo ni kubwa kuliko unapohitimu, nne ratiba yako ya maisha inakuwa na vipaumbele Zaidi ya mtaani, tano kupata mtaji ukiwa chuoni ni uhakika tofauti na ukiwa nyumbani.

Sababu zipo nyingi kama hizo hazijakutosha kukushawishi nifate whatsapp tushauriane nini cha kufanya tambua kuwa kama unapata mkopo na haukuingizii kipato upo kwenye hali ngumu karibu sana nikushauri nini cha  kufanya.  nitafute namba 0762679204.

©Aidan Mponeza
mwandishi//mshauri//mhamasishaji//mshairi//rafiki yako.

No comments

Powered by Blogger.